Abdelaziz Bouteflika

Abdelaziz Bouteflika (amezaliwa 2 Machi 1937) ni Rais wa nchi ya Algeria tangu 27 Aprili 1999.

Abdelaziz Bouteflika, 2006
Crystal personal.svg Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdelaziz Bouteflika kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.