Abdu Kiba

Mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Tanzania

Abdul Kiba (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Abdu Kiba) ni mwanamuziki wa Tanzania, mwimbaji na mtunzi wa nyimbo chini ya lebo ya Kings Music Records ambayo iko Tanzania.

Abdu Kiba
Jina la kuzaliwa Abdul Kiba
Amezaliwa 1996
Asili yake Tanzania
Aina ya muziki Mwanamuziki
Kazi yake Mwimbaji
Aina ya sauti Sauti
Miaka ya kazi 2012 -
Studio Kings Music
Ame/Wameshirikiana na Ali Kiba
Tovuti abdukiba.com
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdu Kiba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.