Ali Kiba
Ali Kiba (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Ali Salehe Kiba; pia: King Kiba; alizaliwa mkoani Iringa, 26 Novemba 1986) ni mwanamuziki wa Tanzania, mwimbaji na mtunzi wa nyimbo chini ya lebo yake ya King's Music records na lebo aliyokuwa akiifanyia kazi Rockstar4000, ambayo alikuwa miongoni mwa wamiliki wake.
Ali Kiba | |
---|---|
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Ali Salehe Kiba |
Amezaliwa | Novemba 29 1986 |
Asili yake | Iringa, Tanzania |
Aina ya muziki | Mwanamuziki |
Kazi yake | Mwimbaji Mwanasoka |
Aina ya sauti | Sauti, piano |
Miaka ya kazi | 2006 hadi sasa |
Studio | Rockstars4000 Kings Music |
Ame/Wameshirikiana na | Aslay Abdu Kiba Christian Bella Ommy Dimpoz M.I Patoranking Abby Skills Mr. Blue |
Ana vipaji vilivyo tofauti na wasanii wenzake, hivyo amejikita sehemu nyingine kwa kusajiliwa na timu ya mpira wa miguu "Tanga Coastal Union" ya mkoani Tanga kucheza mpira wa miguu kwa msimu wa 2018/2019 wa Vodacom Premier League.Lakini pia ALi kiba ni mmiliki wa media ya habari ya Crown mediailiyopo na makazi yake jijini Dar es Salaam.
Maisha
haririAli Kiba alizaliwa na Saleh Omari na Tombwe Njere. Ni mtoto wa kwanza kati ya watoto wanne kwenye familia yao, akifuatiwa na Abdu Saleh Kiba ambaye pia ni mwanamuziki, Zabib Kiba (dada yake) na Abuu Kiba (mdogo wao wa kiume wa mwisho).[1]
Mafanikio
haririMwaka 2011, Ali Kiba alichaguliwa kama msanii wa kwanza wa Afrika Mashariki - Tanzania, Kenya na Uganda.
Kwa mwaka 2015 ameshinda tuzo tano za Kilimanjaro Awards.
Tarehe 20 Mei 2016, kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na muziki "Sony Music Entertainment" ilitangaza kumsainisha mkataba wa kufanya kazi na Ali Kiba.
Tuzo
haririMwaka | Kazi iliyoteuliwa | Tuzo | Matokeo |
---|---|---|---|
2016 | Himself | Best International Act: Africa | Ameshinda[2] |
Nollywood and African Film Critics Awards
haririMwaka | Kazi iliyoteuliwa | Tuzo | Matokeo |
---|---|---|---|
2016 | Himself | Favorite Artist | Ameshinda |
Mwana | Favorite Song | Ameshinda[3] |
East Africa TV Awards
haririMwaka | Kazi iliyoteuliwa | Tuzo | Matokeo |
---|---|---|---|
2016 | Aje | Best Male Artist | Ameshinda |
Song of the Year | Ameshinda | ||
Video of the Year | Ameshinda |
ASFA Awards (Uganda)
haririMwaka | Kazi iliyoteuliwa | Tuzo | Matokeo |
---|---|---|---|
2016 | Aje | Most Stylish Artiste East Africa | Ameshinda |
Aje | Most Fashionable Music Video Africa | Ameshinda[3] |
Soundcity Awards
haririMwaka | Kazi iliyoteuliwa | Tuzo | Matokeo |
---|---|---|---|
2016 | Aje | Video of the Year | Ameshinda |
TZ INSTA Awards 2016
haririMwaka | Kazi iliyoteuliwa | Tuzo | Matokeo |
---|---|---|---|
2016 | Aje | Top Trending Song | Ameshinda |
Best Celebrity Player Awards (Uganda)
haririMwaka | Kazi iliyoteuliwa | Tuzo | Matokeo |
---|---|---|---|
2016 | Himself | Best Celebrity Player | Ameshinda |
WANNAMusic Awards 2016 (France)
haririMwaka | Kazi iliyoteuliwa | Tuzo | Matokeo |
---|---|---|---|
2016 | Aje | Best Male Artist | Kigezo:Nominated |
Best Collabo | Kigezo:Nominated | ||
People Choice | Ameshinda |
Tanbihi
hariri- ↑ https://globalpublishers.co.tz/historia-ya-maisha-ya-alikiba-tangu-kuzaliwa-video/
- ↑ "Ali Kiba atajwa kuwania Tuzo za MTV EMMA 2016". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 Oktoba 2016. Iliwekwa mnamo 7 Oktoba 2016.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help); More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 3.0 3.1 "Annapita.com". www.annapita.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-10-09. Iliwekwa mnamo 2019-12-21.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ali Kiba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |