Abdullah Kassim Hanga

Abdullah Kassim Hanga (19321969) alikuwa Waziri Mkuu wa Zanzibar kuanzia tarehe 12 Januari 1964 hadi 27 Aprili 1964[1].

Abdullah Kassim Hanga
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaTanzania Hariri
Jina halisiAbdulla Hariri
Tarehe ya kuzaliwa1932 Hariri
Tarehe ya kifo1969 Hariri
MwenziLily Golden Hariri
MtotoYelena Khanga Hariri
Lugha ya asiliKiswahili Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKiingereza, Kiswahili Hariri
Kazipolitician Hariri
Nafasi ilioshikiliwaWaziri mkuu Hariri
AlisomaChuo Kikuu cha Oxford, Peoples' Friendship University of Russia Hariri
Elimu ya juupolitical science Hariri
DiniUislamu Hariri
Political ideologyUmaksi Hariri

Aliuawa bila ya kusikilizwa kwa kesi yake iliyokuwa juu ya madai ya kufanya njama ya kupindua utawala wa Abedi Amani Karume mwaka 1967 nchini Tanzania.[2]

Mwanahabari wa Urusi Yelena Khanga ni binti yake.[3]

Marejeo

hariri
  1. "archive.ph". archive.ph. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-25. Iliwekwa mnamo 2022-10-11.
  2. Bakari, Mohammed Ali (2001). The Democratisation Process in Zanzibar: A Retarded Transition (kwa Kiingereza). GIGA-Hamburg. ISBN 978-3-928049-71-9.
  3. Khanga, Yelena; Jacoby, Susan (1994). Soul to Soul: A Black Russian Jewish Woman's Search for Her Roots (kwa Kiingereza). W.W. Norton. ISBN 978-0-393-31155-6.