Abdullswamad Sherrif Nassir
Abdullswamad Sheriff Nassir ni mwanasiasa wa Kenya na gavana wa kaunti ya Mombasa. Alichaguliwa kwa tiketi ya ODM chini ya azimio la Umoja, muungano wa Kenya kwenye uchaguzi mkuu wa 2022. Hapo awali alihudumu kama mbunge wa eneo Mvita kuanzia 2012 hadi 2022 .[1]
Marejeo
hariri- ↑ "ODM's Abdulswamad Nassir wins Mombasa governor race". Nation (kwa Kiingereza). 2022-08-30. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-11-10. Iliwekwa mnamo 2023-06-05.
Makala hii kuhusu mwanasiasa huyo wa Kenya bado ni mbegu. Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |