Azimio la Umoja

Chama cha siasa nchini Kenya

Azimio la Umoja au One Kenya Coalition Party[1][2][3] ni muungano wa kisiasa ulioanzishwa nchini Kenya mwaka wa 2021 na kuwa chama cha kisiasa kwenye Aprili 2022[4]. Chama hicho kilianzishwa kama farakano katika chama cha Jubilee asilia baada ya rais wa nne wa jamhuri ya Kenya kukosana na naibu wake William Ruto na baadaye kumuunga mkono aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Kenya, Raila Odinga[5][6].

Logo ya muungano wa kisiasa ulioundwa nchini Kenya.

Hii ilitokana na rais wa nne Uhuru Kenyatta kupeana mkono wa amani[7] na Raila Odinga mwaka wa 2018 na baadaye Uhuru kuanza kuwatoa wanaomuunga naibu wa rais William Ruto katika vyeo vya kiserikali.

Wanachama/vinara

hariri
 
Picha ya kuonyesha vyama vilivyounda azimio la Umoja

Vyama vikuu

Vyama kwa muungano

  • ODM
  • Jubilee
  • Wiper
  • Kanu
  • Udp
  • Pnu
  • Maendeleo chap chap
  • Usawa kwa wote
  • Narc
  • Paa
  • Upia
  • Kup
  • Upf
  • Muungano party
  • Dep
  • Upa
  • Udp
  • Farmers party

Sababu ya kuundwa

hariri
  • Azimio la Umoja limepangwa kuwa chama cha kumvalisha Raila Odinga taji ya urais wa tano wa Kenya.[9]
  • Kuunganisha jamii zote za Kenya katika serikali ijayo kama watashinda kwenye uchaguzi ujao[10][11]
  • Kuzipa nafasi makabila mengine kutawala jamhuri ya Kenya[12]
  • Kuwapa kazi vijana kwa kufanikiwa katika uchaguzi[13]

Kura za maoni

hariri
  1. Kulingana na kura za maoni Raila anatangulia.[14]kwa asilimia 47.4 ---- March 2022
  2. Kulingana na kura za maoni Ruto anatangulia[15] kwa asilimia 45.5------Aprili 2022

Manifesto

hariri

Muungano huu ulizindua manifesto yake rasmi [16] [17] [1]

Tanbihi

hariri
  1. Ndung’u Gachane. "Raila in Mt Kenya to quell Azimio zoning concerns". The Standard (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-04.
  2. Erastus Mulwa. "Ruto allies accuse Azimio leaders of disrespecting Kalonzo". The Standard (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-04.
  3. https://www.the-star.co.ke/authors/aliwamoses. "Why affiliates parties have been cornered in Azimio deal". The Star (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-04. {{cite web}}: External link in |author= (help)
  4. https://nation.africa/kenya/news/politics/boost-for-raila-as-azimio-oka-form-coalition-political-party-3768774 Boost for Raila as Azimio, OKA form coalition political party, tovuti ya Nation 02.04.2022
  5. Njoki Kihiu (2022-03-23). "Raila heaps praise on Karua as she joins Azimio La Umoja » Capital News". Capital News (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-03-26.
  6. Raila's Azimio la Umoja team takes Ruaraka and Mathare constituencies by storm, hits out at DP Ruto, iliwekwa mnamo 2022-03-26
  7. "2018 Kenya handshake", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-03-20, iliwekwa mnamo 2022-03-26
  8. Davis Ayega (2022-05-04). "I will not 'humiliate' myself, Kalonzo says on attending Azimio's running mate interviews » Capital News". Capital News (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-05-04.
  9. Laban Wanambisi (2022-02-26). "Raila's big crowning moment is here » Capital News". Capital News (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-03-26.
  10. "Raila calls for unity as Mount Kenya Foundation, Maa community rally behind his presidential bid". Citizen Digital (kwa Kiingereza). 2022-01-25. Iliwekwa mnamo 2022-03-26.
  11. "OPARANYA: AZIMIO LA UMOJA WILL UNITE ALL TRIBES IN THE WESTERN REGION – Kenyatta University TV (KUTV). All Rights Reserved" (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-05-20. Iliwekwa mnamo 2022-03-26.
  12. President Uhuru hits out at DP; says only two tribes have held power | Political Point, iliwekwa mnamo 2022-03-26
  13. Mumbi Mutuko on 10 December 2021-7:00 pm. "Raila Odinga's 10 Point Manifesto". Kenyans.co.ke (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-03-26.{{cite web}}: CS1 maint: numeric names: authors list (link)
  14. "2022 Kenyan general election", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-03-26, iliwekwa mnamo 2022-03-27
  15. "2022 Kenyan general election", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-04-27, iliwekwa mnamo 2022-05-04
  16. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-06-16. Iliwekwa mnamo 2022-06-12.
  17. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2022-06-06. Iliwekwa mnamo 2022-06-12.