Abondi wa Cordoba
Abondi wa Cordoba (alifariki Cordoba, Hispania, 11 Julai 854) alikuwa padri aliyeuawa na Waislamu waliotawala nchi hiyo[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Tazama piaEdit
TanbihiEdit
- ↑ Santoral Diocesano de Córdoba Archived 3 Novemba 2007 at the Wayback Machine.
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya njeEdit
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |