Abovyan

Abovyan (Kiarmenia: Աբովյան) ni jiji lililopo nchini Armenia kwenye mkoa wa Kotayk. Upo km 10 kutoka upande kaskazini-mashariki mwa Yerevan. Mnamo mwaka wa 2008, jiji limekadiriwa kuwa na idadi ya wakazi takriban 36,705, kutoka chini 59,000 kwenye sensa ya 1989 na 44,569 kwenye sensa ya 2001.

Sehemu za Mji wa Abovyan
Ramani ya eneo hili

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abovyan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.