Yerevan (pia: Erevan, Erivan; kwa Kiarmenia: Երեւան au Երևան) ni mji mkuu na pia mji mkubwa wa Armenia.

Mji wa Yerevan pamoja na mlima Ararat

Idadi ya wakazi ni juu ya milioni moja (mwaka 2004).

Iko kando ya mto Hrazdan na kutazama mlima Ararat ambao ni mlima mtakatifu wa Waarmenia.

Mji ni wa kale: ulianzishwa kama boma la Erevuni katika milki ya Urartu mnamo 782 KK.

Viungo vya nje Edit

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Yerevan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.