Ad Dakhiliyah

Ad Dakhiliyah ni moja ya mikoa 9 ya kujitawala ya Omani. Idadi ya wakazi wake ni takriban 267,140. Makao makuu ni Nizwa.

منطقة الداخلية
Ad Dakhiliyah
Mahali pa Mkoa wa Ad Dakhiliyah katika Omani
Mahali pa Mkoa wa Ad Dakhiliyah katika Omani
Nchi Omani
Wilaya 8
Makao makuu Nizwa
Eneo
 - Mkoa 31,900 km²
Idadi ya wakazi (2003)
 - 267,140

Tazama piaEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Omani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ad Dakhiliyah kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


 
Mikoa ya Omani
 
Ad Dakhiliyah | Al Batinah | Al Wusta | Ash Sharqiyah | Ad Dhahirah | Maskat | Musandam | Dhofar | Al Buraimi
+/-