Ad Dhahirah
Ad Dhahirah ni moja ya mikoa 9 ya kujitawala ya Omani. Idadi ya wakazi wake ni takriban 130,177. Makao makuu ni Ibri.
منطقة الظاهرة Ad Dhahirah |
|
![]() Ad Dhahirah |
|
Nchi | Omani |
---|---|
Wilaya | 3 |
Makao makuu | Ibri |
Eneo | |
- Jumla | 37,000 km² |
Idadi ya wakazi (2003) | |
- Wakazi kwa ujumla | 130,177 |
Tazama pia Edit
Makala hii kuhusu maeneo ya Omani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ad Dhahirah kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Ad Dakhiliyah | Al Batinah | Al Wusta | Ash Sharqiyah | Ad Dhahirah | Maskat | Musandam | Dhofar | Al Buraimi | |
+/- |