Adadi Mohamed Rajabu

Adadi Mohamed Rajabu (amezaliwa 20 Januari 1955) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Muheza kwa miaka 20152020. [1] [2]

Ni Mwenyekiti wa Kamati ya mambo ya ndani, ulinzi na usalama wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Marejeo

hariri
  1. https://www.tzembassy.go.tz/ambassadors/view/adadi-mohamed-rajabu
  2. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017