Adam Croasdell
Adam Croasdell (kuzaliwa 10 Julai 1976) ni mwigizaji wa Uingereza mzawa wa Zimbabwe[1][2]. Amejitokeza katika filamu za Supernatural, The Chase, Holby City, Peak Practice, London's Burning, Filamu ya Agatha Christie Cat Among the Pigeons na Ultimate Force.[3] Mwaka 2009, alihusika kama Dkt Al Jenkins katika telenovela ya BBC kwa jina la EastEnders.[4] pia amehusika katika filamu nyingine kama The Prince and Me 3: Royal Honeymoon na Attack Force pia katika michezo ya jukwaani.[3]
Kazi
haririMwaka 2009, Croasdell alithibitisha kuwa mhusika mkuu katika michezo ya video the body double kwa jina la Daniel Craig iliyotoka mwaka 2010, alivaa uhusika na sifa za James Bond.[5]
Croasdell alishirikishwa katika filamu ya kimarekani ya Supernatural, akiwa kama Baldur mungu wa Norse, hii ni katika sehemu ya 5kipande cha 19 kwa jina la "Hammer of the Gods". Alihusika pia katika filamu ya Body of Proof sehemu ya 2 kipande cha 9 "Gross Anatomy" kama Ronan Gallagher iliyoanza kuonyeshwa nchini Marekani kuanzia 29 Novemba 2011 na nchini Uingereza kuanzia 1 Machi 2012.
Alihusika kama Kanali Elmer Ellsworth, mhanga wa kwanza katika vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Nchini marekani katika filamu ya mwaka 2012 kwa jina la Saving Lincoln.
Mwaka 2015, alihusika kama Brennan Jones, baba yake nahodha Hook, katika filamu iliyoonyeshwa na kampuni ya ABC kwa jina la ‘’Once Upon a Time’’.
Mwaka 2016, aliigiza sauti ya mhusikia katika wa mchezo wa video Ignis Scientia, mcezo huo unajulikana kwa jina la Final Fantasy XV.[6]
Kazi za Sanaa
haririMwaka | Jina | Uhusika | Maelezo |
---|---|---|---|
1998 | Tarzan and the Lost City | Lewis | |
2000 | Fatboy and Twintub | Twintub | Filamu fupi |
2002 | Flyfishing | Phil | |
2004 | Nature Unleashed: Avalanche | Thom | |
2006 | Attack Force | Aroon | |
2006 | True True Lie | Shaun Rednik | |
2007 | Too Much Too Young | Baz Chambers | |
2007 | God's Wounds | Tony Clements | |
2008 | The Prince and Me 3: A Royal Honeymoon | Scott | |
2012 | Werewolf: The Beast Among Us | Stefan | |
2013 | Saving Lincoln | kanali Col. Elmer Ellsworth | |
2013 | Stevie the Hopposaurus | Msimuliaji | Sauti pekee, Filamu fupi |
2013 | Extraction | Alexi Vodanova | |
2016 | Hatchet Hour | Isaac "Izzy" Friedman | |
2016 | Kingsglaive: Final Fantasy XV | Ignis Scientia mhusika katika mchezo wa video | sauti |
2018 | Batman Ninja | Alfred Pennyworth]], Dick Grayson | Sauti |
Mwaka | Jina | Uhusika | Maelezo |
---|---|---|---|
1997 | Natural Rhythm | Joel Cunningham | Sehemu hazifahamiki |
2000 | The Creatives | Franck | Kipande cha : "Lenny the Bruce" |
2000 | Holby City | Marcus Sanders / Jason Hicks | Kipande cha: "The Trouble with the Truth" |
2001 | Smack the Pony | Wahusika tofauti tofauti | Kipande cha 5 |
2001 | Risk | Jim | Kipande cha: "Kim Goes Undercover" |
2001 | Peak Practice | Tony Preston | Kipande cha "#12.1" na "#12.2" |
2001 | Dark Realm | Mike | Kipande cha: "Johnny's Guitar" |
2002 | As If | Tom | Kipande cha: "Nicki's POV" |
2002 | London's Burning | Fraser | Kipande cha: "#2.1" |
2002 | The Project | Josh | Maonyesho ya televisheni |
2003 | Lenny Henry in Pieces | Paul | Kipande cha: "#2.1" |
2003 | Leonardo | Michelangelo | Kipande cha: "Dangerous Liaisons" |
2005 | Ultimate Force | Pierre Du Preez | Kipande cha: "Never Go Back" |
2007 | The Chase | Sebastian Montgomery | Uhusika unaojirudia, vipande 9 |
2008 | Heartbeat | Chaz Enderby | Kipande cha: "The Devil Rides Out" |
2008 | Agatha Christie's Poirot | Adam Goodman | Kipande cha: "Cat Among the Pigeons" |
2009–10 | EastEnders | Dr. Al Jenkins | Vipande 43 |
2010 | Supernatural | Baldur | Kipande cha: "Hammer of the Gods" |
2011 | Body of Proof | Ronan Gallagher | Kipande cha: "Gross Anatomy" |
2012 | Bond, James Bond | James Bond | Mhusika mkuu vipande 6 |
2013 | NCIS: Los Angeles | Jamal Avlurov | Kipande cha: "The Chosen One" |
2013 | Nikita | Kosta Bechiraj | Kipande cha: "Brave New World" |
2014–15 | Doc McStuffins | Wildlife Will | Sauti pekee, kipande cha 2 |
2014–16 | NCISS | Angus Clarke | Vipande 3 |
2015 | Hot in Cleveland | Mkubwa wa Cleveland | Kipande cha: "We Could Be Royals" |
2015 | Guy Theory | Aaron Alexander | Kipande cha: "Perfect Storm" |
2015 | The Exes | Chris | Kipande cha: "Knotting Phil" |
2015 | Once Upon a Time | Brennan Jones | Kipande cha: "Swan Song" |
2015 | Change of Heart | Jared Blasco | Filami ya televisheni |
2016 | #TheAssignment | Adam | Mhusika mkuu, Vipande 14 |
2017 | Reign | James Hepburn | Uhusika unaojirudia, vipande 10 |
2018 | Preacher | Eccarius na Les Enfants Du Sang | Vipande 6 |
2018 | Castlevania | Sauti za kuongeza | Filamu za mitandaoni; vipande 8 |
2020 | Glitch Techs | Count Nogrog | Filamu za mtandaoni; Kipande cha: "Castle Crawl" |
2020 | Blood of Zeus | Apollo | Filamu za Mtandaoni; sauti pekee, vipande 3 |
Mwaka | Jina | Uhusika | Maelezo |
---|---|---|---|
2010 | James Bond 007: Blood Stone | James Bond | Picha za video |
2012 | Fable: The Journey | Ghost No. 1 | Sauti |
2013 | Dead Island: Riptide | John Morgan | Sauti |
2014 | Middle-earth: Shadow of Mordor | Torvin | Sauti |
2015 | The Order: 1886 | Sauti za nyongeza | Sauti |
2016 | Final Fantasy XV | Ignis Scientia | Sauti |
2017 | Halo Wars 2 | Sauti zza nyongeza | Sauti |
2018 | Fallout 76 | Modus, Buck Nixon, James Waltz | Sauti |
2019 | Judgment]] | Murase | Sauti |
2019 | Call of Duty: Modern Warfare | Sauti ya nyongeza | Sauti |
Marejeo
hariri- ↑ Spling. "Adam Croasdell on 'Hatchet Hour' - Interviews - SPLING - Movie Critic - Movie Reviews - Film News - Celeb Interviews". www.spling.co.za. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-04-14. Iliwekwa mnamo 2021-01-30.
- ↑ Woodward, Kate (5 Januari 2010), "Adam Croasdell is 'At your Mercy'!", Inside Soap, England, ku. 50–51
{{citation}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 3.0 3.1 "Adam Croasdell plays Dr Al Jenkins". BBC. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 Mei 2009. Iliwekwa mnamo 2 Mei 2009.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "EastEnders welcomes an 'Ilfracombe surfer'", This Is North Devon, 30 April 2009. Retrieved on 30 April 2009. Archived from the original on 3 May 2009.
- ↑ "The Press Association: EastEnders doc plays Bond in Game". Google News. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 16 Novemba 2009. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2009.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Several English voice actors revealed for Final Fantasy XV - Nova Crystallis". 12 Agosti 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Adam Croasdell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |