Adam Johnson (mwandishi)

Adam Johnson (amezaliwa 12 Julai 1967) ni mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 2013, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Orphan Master's Son.

Adam Johnson
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adam Johnson (mwandishi) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.