Adama Niane

Adama Niane akiwa na Aleksandar Radovanović

Adama Niane (alizaliwa 16 Juni 1993) ni mchezaji wa soka wa Mali ambaye anacheza katika klabu ya Charleroi.Adama amewakilisha Mali katika ngazi ya kimataifa.

Club Olympique de BamakoEdit

Alizaliwa Bamako, Niane alianza kazi yake katika klabu ya Olympique, alijiunga na klabu hiyo kama mchezaji wa vijana mwaka 2003.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adama Niane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.