Adelfo wa Metz (aliishi katika karne ya 5) alikuwa askofu wa kumi[1] wa mji huo (leo nchini Ufaransa)[2][3] · [4].

Mt. Adelfo.

Papa Leo IX alimtangaza mtakatifu tarehe 3 Desemba 1049.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Agosti[5][6].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Le Diocèse de Metz, sous la direction de Henri Tribout de Morembert, Letouzey & Ané, Paris, 1970.
  • Monique Goullet, La Vie d'Adelphe de Metz par Werinharius : une réécriture polémique ?, paru dans : Scribere gesta sanctorum. Recueil d'études d'hagiographie médiévale offert à Guy Philippart, Turnhout, 2005 (Brepols), p.|451-476.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.