Aden Bare Duale
Kiongozi katika Bunge la Kitaifa la Kenya na Mbunge wa eneo bunge la Garissa Township, Kaunti ya Garissa
Aden Bare Duale ni mwanasiasa nchini Kenya na mwanachama wa chama cha Jubilee. Mwaka 2017 alichaguliwa kama mbunge wa Taifa kwa kushinda uchaguzi wa eneo bunge la Garissa Mjini kwenye kaunti ya Garissa [1] Alichaguliwa tarehe 9 Agosti 2022 kuwa mbunge wa eneobunge hilo[2]
Adan Bare Duale alichaguliwa na Rais kuwa Katibu wa Wizara ya usalama wa nje na hivyo akakoma kuwa mbunge wa Garissa.
Marejeo
hariri- ↑ https://www.parliament.go.ke/the-national-assembly/mps Ilihifadhiwa 8 Aprili 2022 kwenye Wayback Machine. wabunge wa taifa la Kenya waliochaguliwa tovuti la bunge la Kenya Marchi 31, 2022]
- ↑ https://www.parliament.go.ke/the-national-assembly/mps Ilihifadhiwa 8 Aprili 2022 kwenye Wayback Machine.. Wabunge wa taifa la Kenya waliochaguliwatovuti la bunge la Kenya September, 2022]
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aden Bare Duale kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |