Eneo bunge la Garissa Mjini
Eneo bunge la Garissa Mjini (awali: Jimbo la Uchaguzi la Dujis) ni mojawapo ya majimbo 290 ya uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo katika Kaunti ya Garissa.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya wa 1988.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Hussein Maalim Mohamed | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Hussein Maalim Mohamed | KANU | |
1997 | Hussein Maalim Mohamed | KANU | |
2002 | Hussein Maalim Mohamed | KANU | |
2007 | Aden Bare Duale | ODM |
Wodi
haririWodi | ||
Wodi | Wapiga Kura Waliojisajili | Utawala wa Mitaa |
---|---|---|
Biashara | 3,994 | Munisipali ya Garissa |
Bulla | 2,887 | Munisipali ya Garissa |
Jamhuri | 2,747 | Munisipali ya Garissa |
Market | 5,578 | Munisipali ya Garissa |
Mashambani | 1,596 | Munisipali ya Garissa |
Stadium | 4,796 | Munisipali ya Garissa |
Sankuri / Raya | 1,838 | Garissa County |
Balambala | 2,563 | Garissa County |
Denyere | 1,167 | Garissa County |
Jara Jara | 595 | Garissa County |
Kora Kora | 1,306 | Garissa County |
Saka | 965 | Garissa County |
Shimbiri | 880 | Garissa County |
Jumla | 30,912 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje
hariri- Dujis Constituency Online (unofficial)
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Garissa Mjini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |