Adrioni
Adrioni (alifariki Aleksandria, karne ya 4) ni kati ya Wakristo wa Misri waliouawa kwa ajili ya imani yao. Pengine anaongezewa majina ya Vikta na Basila[1], lakini si sahihi[2].
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |