Against All Odds (Take a Look at Me Now)
"Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (pia huitwa kwa kifupi kama "Against All Odds") huu ni wimbo ambao awali uliimbwa na mwanamuziki wa Kiingereza Phil Collins. Wimbo huu pia umekuwa wimbo na maudhui ya filamu ya Against All Odds, kwa mara ya kwanza wimbo huu ulitokea katika mfulilizo wa nyimbo zake wa "Agaist All Odds"
“Against All Odds (Take a Look at Me Now)” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Phil Collins | |||||
B-side | "The Search" | ||||
Muundo | 7" | ||||
Imerekodiwa | 1983 | ||||
Aina | Soft rock | ||||
Urefu | 3:23 | ||||
Studio | Atlantic | ||||
Mtunzi | Phil Collins | ||||
Mtayarishaji | Arif Mardin | ||||
Mwenendo wa single za Phil Collins | |||||
|
Muziki wa video
haririwimbo huu umeongozwa na Taylor Hackford, na kutayarishwa na Jeffrey Abelson, Wazo la kutengeneza video ya wimbo huu lilitoka kwa Keith Williams, mwandishi wa nyimbo ambaye tayari amekwisha fanya kazi na h Abelson katika video ya r "Dancin' With Myself" (Billy Idol) Wimbo huu umekuwa katika nafasi ya kwanza kwa wiki mbalimbali katika televisheni ya MTV na kuwa katika nafasi ya nne katika mwaka 1984 katika hesabu yake video bora za mwaka.[1]
Chati
haririChati (1984) | Ulipata nafasi |
---|---|
Canadian Singles Chart | 1 |
Dutch Singles Chart | 12 |
German Singles Chart | 9 |
UK Singles Chart | 2 |
U.S. Billboard Hot 100 | 1 |
U.S. Billboard Hot Adult Contemporary Tracks | 3 |
U.S. Billboard Hot Mainstream Rock Tracks | 1 |
Toleo la Mariah Carey
hariri“Against All Odds” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Mariah Carey kutoka katika albamu ya Rainbow | |||||
Imetolewa | 2000 | ||||
Aina | Pop | ||||
Urefu | 3:25 | ||||
Studio | Columbia | ||||
Mwenendo wa single za Mariah Carey | |||||
|
Mwimbaji wa Marekaniwa miondoko ya pop/R&B Mariah Carey alitengeneza wimbo huu kwa mara ya pili katika toleo lake mwenyewe ambapo aliimba ba Jimmy Jam and Terry Lewis katika albamu yake ya sita iliyoitwa Rainbow.
Carey alihariri wimbo huu na Steve Mac. ambapo wimbo huu ulitoka kama single katika albamu yake ya Rainbow. Japokuwa wimbo huo ulitoka kama sehemu ya albamu yake ya Rainbow nchini Marekani, lakini hakutoka kwa ajili ya shughuli za biashara nchini humo, lakini ulikuja kutoka katika baadhi ya masoko mwanzoni mwaka 2000
Wimbo huu ulipata mafanikio ya kawaida, japokuwa ulifanikiwa kufika hadi nafasi ya 20, katika nchi mbalimbali, lakini nafasi ya juu zaidi kuwahi kufikiwa na wimbo huu, ni nafasi ya pili ambayo ilikuwa nchini Norway
Orodha ya nyimbo
haririSingle CD ya Europe
- "Against All Odds (Take a Look at Me Now)"
- "Crybaby" (featuring Snoop Dogg)
European CD maxi-single
- "Against All Odds (Take a Look at Me Now)"
- "Crybaby" (featuring Snoop Dogg)
- "Thank God I Found You" (Stargate Radio Edit featuring Joe & 98°)
- "Can't Take That Away (Mariah's Theme)" (Morales Club Mix Edit)
Japanese CD single
- "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (featuring Westlife)
- "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (album version)
- "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Pound Boys Radio Edit)
- "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (instrumental)
Muziki wa video
haririVideo kwa toleo la Maria uliongozwa na Paul Misbehoven, ikionesha baadhi ya vijisehemu vya Mariah akiimba wimbo huu katika matasha yake mbalimbali aliyoyafanya katika ziara yake ya Raibow World Tour
Orodha
haririChati (2000) | Ilichukua nafasi |
---|---|
Belgian Flandres Singles Chart[2] | 26 |
Belgian Wallonia Singles Chart[3] | 15 |
Canadian Singles Chart[4] | 22 |
Dutch Singles Chart[5] | 20 |
French Singles Chart[6] | 18 |
German Singles Chart[7] | 29 |
Italian Singles Chart[8] | 17 |
Norwegian Singles Chart[9] | 2 |
Swiss Singles Chart[10] | 20 |
Toleo la Westlife na Mariah Carey
hariri“Against All Odds” | ||
---|---|---|
Single ya Mariah Carey featuring Westlife kutoka katika albamu ya Coast to Coast | ||
Imetolewa | 18 Septemba 2000 | |
Imerekodiwa | Julai 1999—2000 | |
Aina | Pop | |
Urefu | 3:25 | |
Studio | Sony BMG | |
Certification | Silver (UK) |
Mariah Carey baadae alirekodi wimbo wa "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" kwa kushirikiana na kundi la Westlife. Toleo hili lilikuwa katika albmu yao ya Coast to Coast. Wimbo ulitoka mwezi september mwaka 2000, miezi michache baada ya toleo la Carey
Wimbo huu ulifanya vizuri zaidi kuliko ule wa mara ya kwanza nchini Uingereza na Ireland ambapo ilishika nafasi ya kwanza, na kuwapa Westlife wimbo wa sita mfululizo kufika katika nafasi ya kwanza katika chati ya Muziki ya Uingereza,na kulifanya kundi hilo kuongoza kwa kuweza kufikisha nyimbo nyingi zaidi katika nafasi ya kwanza katika chati hiyo ya Uingereza, lakini pia hii ilimfanya Mariah kuwa na nyimbo iliyofika katika nafasi ya kwanza nchini Uingereza. Hadi leo Maria ameweza kufikisha katika nafasi ya kwanza wimbo wake namba moja katika chati ya Uingereza wimbo wake wa, "Without You".
Orodha ya Nyimbo
haririUK CD1
- "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Mariah Carey featuring Westlife) - 3:21
- "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Pound Boys Main Mix) - 9:09
- "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Mariah Only Version) - 3:21
- "Westlife Interview" (CD Extra)
UK CD2
- "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Mariah Carey featuring Westlife) - 3:21
- "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Westlife Only Version) - 3:21
- "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Pound Boys Dub) - 6:48
- "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Video) - 3:21
European CD
- "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Single Remix) - 3:21
- "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Album Version) - 3:39
- "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Pound Boys Radio Edit) - 3:48
Australian CD
- "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Single Remix) - 3:21
- "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Album Version) - 3:39
- "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Pound Boys Main Mix) - 9:09
Japanese CD
- "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Mariah Carey featuring Westlife) - 3:21
- "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Album Version) - 3:39
- "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Pound Boys Radio Edit) - 3:48
- "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Instrumental) - 3:21
Video ya Wimbo
haririVideo ya wimbo huu imeonekana kuwa maarufu kuliko vido nyingine zozote katika nyimbo za Mariah. Video inamuonesha Mariah akiwa na Westlife wakiwa katika boti wakitazama kisiwa cha Capri
Chati
haririChati (2000) | Ilipata nafasi |
---|---|
Australian Singles Chart[11] | 52 |
Belgian Flandres Singles Chart[12] | 50 |
Belgian Wallonia Singles Chart[13] | 31 |
Dutch Singles Chart[14] | 29 |
Irish Singles Chart[15] | 1 |
Japanese Singles Chart[16] | 78 |
Swedish Singles Chart[17] | 3 |
UK Singles Chart[18] | 1 |
UK Radio Airplay Chart | 10 |
Toleo la The Postal Service
hariri“Against All Odds” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya {{{Msanii}}} kutoka katika albamu ya Wicker Park | |||||
Imetolewa | Septemba 1, 2004 | ||||
Muundo | Digital download | ||||
Aina | Alternative rock, electronica | ||||
Urefu | 3:50 | ||||
Studio | Sub Pop | ||||
Mtayarishaji | The Postal Service | ||||
Mwenendo wa single za {{{Msanii}}} | |||||
|
Kundi la Kimarekani la The Postal Service lilirudia wimbo wa "Against All Odds" kama wimbo katika filamu yao ya mwaka 2004 Wicker Park. Kurudiwa huko kwa wimbo huo,kulikuja kutambulika kuwa moja ya marudio mazuri zaidi kuwahi kutokea kwa kipindi hicho New York Post.[19]
Muziki wa Video
haririVideo ya Muziki huu, inaanza kwa kuonesha baadhi ya vijisehemu kutoka katika filamu na baadae kuishia katika chumba
Karaoke
haririWimbo huu pia upo katika video ya Karaoke Revolution Volume 3.Pia unapatikana katika mchezo wa Karaoke Revolution Presents: American Idol Encore.
Marejeo
hariri- ↑ "Remember back when MTV used to be cool?". Platypus Comix. Iliwekwa mnamo 18 Agosti 2006.
{{cite web}}
: Cite has empty unknown parameter:|accessyear=
(help) - ↑ Belgian Flanders Singles Chart
- ↑ Belgian Wallonia Singles Chart
- ↑ Canadian Singles Chart
- ↑ Dutch Singles Chart
- ↑ French Singles Chart
- ↑ German Singles Chart
- ↑ Italian Singles Chart
- ↑ Norwegian Singles Chart
- ↑ Swiss Singles Chart
- ↑ Australian Singles Chart
- ↑ Belgian Flanders Singles Chart
- ↑ Belgian Wallonia Singles Chart
- ↑ Dutch Singles Chart
- ↑ Irish Singles Chart
- ↑ Japanese Singles Chart
- ↑ Swedish Singles Chart
- ↑ UK Singles Chart
- ↑ "They've Got It Covered". New York Post. 19 Septemba 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-08-20. Iliwekwa mnamo 27 Novemba 2006.
{{cite web}}
: Unknown parameter|coauthors=
ignored (|author=
suggested) (help)