Coast to Coast
Coast to Coast ni albamu ya pili kutoka kwa vijana Kieire, Westlife. Albamu ilitoka tar. 6 Novemba 2000, chini ya studio ya RCA. Lakini albamu hii ilitolewa tena ndani ya vijiboksi ndani ya Albamu yao ya World of Our Own mara ya mwisho tar. 25 Januari 2005. Albamu hii ilipata nafasi ya kuuza zaidi ya nakala milioni 8, dunia nzima. [onesha uthibitisho]
Coast To Coast | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Westlife | |||||
Imetolewa | Novemba 6, 2000 (see Release history) |
||||
Imerekodiwa | Desemba 1999 - Aprili 2000 | ||||
Aina | Pop | ||||
Urefu | 70:02 | ||||
Lebo | Sony BMG, RCA | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za Westlife | |||||
|
|||||
Single za kutoka katika albamu ya Westlife | |||||
|
Mapokezi
haririAlbamu ya Coast to Coast Ilipata mapokezi ambayo si mazuri kwa mashabiki wake. Andrew Lynch , kutoka katoka kipindi cha Entertainment.ie aliipa album hiyo nyota moja kutoka nyota tano, na kuuita albumu hiyo,"Kujiua kibishara" ("Commercial Suicide")lakini kulikwa na mapokezi mazuri kidogo kwa upande wa Allmusic kwani waliipa albamu hiyo nyota 2.5 kutoka nyota 5, na kulinganisha kundi hilo na makundi mengine kama vile Take That na Boyzone. Albamu hii, ilishika namba nne,kwa upande wa mauzo kwa mwaka 2000, nchini Uingereza.
Nyimbo kama Close, Soledad na Puzzle oa My Heart ilitoka kama nyimbo moja moja nchini Ufilipino wakati, nyimbo kama vile En Ti Deje Mi Amor ilitolewa kama nyimbo moja moja maarufu kama "singo' lakini hizi zilitoka katika nchi zinazozungumza lugha ya kihispania peke yake.
Chati za albamu
haririAlbamu ya Coast to Coast ilishika namba moja katika chati ya muziki ya Uingereza, UK Top 75 Albumsna kufanikiwa kuuza nakala 234,000 katika wiki ya kwanza peke yake, na albamu nzima iibaki katika nafasi ya kwanza kwa kipindi cha wiki moja nzima, na kufuatiwa na kundi la The Beatles na albamu yao ya The Beatles 1, albamu ambayo ilitambulika kama yenye ubora wahali ya juu, hususani baada ya kuuza nakala milioni 1.5, katika nchi ya Uingereza peke yake.
Nchi | Ilichukua nafasi |
Mauzo | hakikisho |
---|---|---|---|
UK Albums Chart | 1[1] | 1,500,000+ | 5×Platinum |
Irish Albums Chart | 1 | 603,000 | |
Ubelgiji | 17[2] | ||
Ujerumani | 19 | ||
Netherlands | 13[3] | ||
New Zealand | 2[4] | ||
Norway | 6[5] | ||
Sweden | 3[6] | ||
Switzerland | 38 | ||
Mexico | 6 | 115,000+ [7] | Gold |
Habari za Albamu
haririWimbo Namba. |
Jina | Washiriki | Urefu |
---|---|---|---|
1 | "My Love" (Radio Edit) |
Arranged By [Orchestra], Conductor [Orchestra] - Henrik Janson, Ulf Janson |
3:55 |
2 | "What Makes a Man" |
Arranged By [Orchestra] - Richard Niles |
3:54 |
3 | "I Lay My Love on You" (Single Remix) |
Producer, Programmed By, Arranged By - David Kreuger, Per Magnusson |
3:33 |
4 | "I Have A Dream (Remix)" |
Backing Vocals - Andrew Frampton, Lance Ellington |
4:18 |
5 | "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" |
Backing Vocals [Additional] - Mary Ann Tatum, Wayne Hector |
3:25 |
6 | "When You're Looking Like That (Single Remix)" |
Backing Vocals - Andreas Carlsson, Max Martin |
3:56 |
7 | "Close" |
Producer, Mixed By, Arranged By, Keyboards, Piano - Steve Mac |
4:07 |
8 | "Somebody Needs You" |
Backing Vocals - Anders von Hofsten, Andreas Carlsson |
3:12 |
9 | "Angel's Wings" |
Arranged By [Orchestra] - Richard Niles |
4:08 |
10 | "Soledad" |
Acoustic Guitar, Guitar [Electric] - Henrik Jansson |
4:03 |
11 | "Puzzle Of My Heart" |
Harp - Åsa Lönnerholm |
3:42 |
12 | "Dreams Come True" |
Harp - Åsa Lönnerholm
Producer, Programmed By, Arranged By - David Kreuger, Per Magnusson |
3:10 |
13 | "No Place That Far" |
Producer, Mixed By, Arranged By, Keyboards, Piano - Steve Mac |
3:16 |
14 | "Close Your Eyes" |
Producer, Mixed By, Arranged By, Piano, Keyboards - Steve Mac |
4:36 |
15 | "You Make Me Feel" |
Engineer [Strings & Mix] - Matt Howe |
3:40 |
16 | "Loneliness Knows Me By Name" |
Backing Vocals - Anders von Hofsten
Engineer - Jake*
Engineer [Assistant] - Christian Nilsson |
3:06 |
17.1 | "Fragile Heart" |
Acoustic Guitar - Fridrick "Frizzy" Karlsson |
3:04 |
17.2 | "Uptown Girl (Radio Edit)" | Special Edition Bonus Track Produced, Mixed & Arranged By - Steve Mac |
3.06 |
18.1 | "Every Little Thing You Do" |
Produced, Mixed & Arranged By, Keyboards, Piano - Steve Mac |
4:13 |
18.2 | "Nothing Is Impossible" | Special Edition Bonus Track Produced and Arranged by Ray "Madman" Hedges, Mixed By Mark Emmitt Written By - Ray Hedges, Martin Brannigan, Byrne, Egan, Mcfadden |
3.15 |
19 | "My Girl" | Special Edition Bonus Track Produced by Topham, Twigg and Waterman for Pete Waterman Productions |
2.46 |
30 | "Don't Get Me Wrong" | Hidden Track Backing Vocals - Anders von Hofsten |
3:45 |
Matokeo
hariri- (P)+(C) 2000 BMG Entertainment International (UK and Ireland) Ltd., except track 5: (P) 2000 Sony Music Entertainment Inc.
- Barcode# = 743218243028
- Tracks 19 to 29 do not contain any audio.
- Track 30 is a hidden bonus track not credited on the back cover.
- The CD-ROM part contains short previews of the music videos for "Against All Odds", "I Have A Dream" & "I Lay My Love On You".
Wafanya Kazi
hariri- Joakim Agnas – Piccolo Trumpet
- John Amatiello – Assistant
- Dick Beetham – Mastering
- Martin Brannigan – Arranger
- Mariah Carey – Vocals (bckgr), Producer, Vocal Arrangement
- Andreas Carlsson – Vocals (bckgr)
- Dana Jon Chappelle – Engineer
- Simon Cowell – Executive Producer
- Andy Earl – Photography
- Björn Engelmann – Mastering
- Brian Garten – Digital Editing
- Paul Gendler – Guitar, Guitar (Electric)
- Wayne Hector – Vocals (bckgr), Vocal Arrangement
- Matt Howe – Orchestral Arrangements, Mixing Engineer
- Jimmy Jam – Producer
- Henrik Janson – Arranger, Conductor
- Fredrik Karlsson – Guitar (Electric)
- David Krueger – Guitar (Acoustic), Arranger, Guitar (Electric), Producer
- Josef Larossi – Mixing
- Chris Laws – Programming, Engineer
- Terry Lewis – Producer
- Gustave Lund – Percussion
- Tom Lundberg – Bass
- Steve Mac – Piano, Arranger, Keyboards, Producer, Vocal Arrangement, Mixing
- Per Magnusson – Arranger, Keyboards, Programming, Producer
- Max Martin – Vocals (bckgr)
- Richard Niles – Assistant Engineer
- Esbjörn Öhrwall – Guitar
- Steve Pearce – Bass
- Daniel Pursey – Assistant Engineer
- Rami – Producer, Engineer
- Ake Sundqvist – Percussion
- Mary Ann Tatum – Vocals (bckgr)
- Ulf – Arranger, Conductor
- Anders Von Hofsten – Vocals (bckgr)
- Westlife – Vocals (bckgr)
Historia ya Kutoka
haririJimbo | tarehe |
---|---|
United Kingdom | Novemba 6, 2000 |
Australia | Desemba 7, 2000 |
Marejeo
hariri- ↑ UK album chart
- ↑ Belgium album chart
- ↑ Netherlands album chart
- ↑ "New Zealand album chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-04. Iliwekwa mnamo 2009-12-27.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help); Unknown parameter|https://web.archive.org/web/20081204070107/http://charts.org.nz/showitem.asp?interpret=
ignored (help) - ↑ Norwegian album chart
- ↑ [1] Swedish album chart
- ↑ "Westlife quiere conquistar mercado de Estados Unidos". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-06. Iliwekwa mnamo 2009-12-27.