Aggrey Deaisile Joshua Mwanri

Aggrey Deaisile Joshua Mwanri (amezaliwa 17 Julai 1955) ni mkuu wa Mkoa wa Tabora, na aliwahi kuwa mbunge wa jimbo la Siha katika bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.[1] Anatokea katika Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Mengi kuhusu Aggrey Deaisile Joshua Mwanri (17 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.