Agnes Pareyio

Mwanaharakati wa haki za wanawake wa Kimasai Kenya, mwanasiasa na Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Kituo cha Uokoaji cha Tasaru Ntomonok kwa wasichana wadogo.

Agnes Pareyio (alizaliwa Juni 24, 1956[1]) ni mwanaharakati wa haki za wanawake wa Kimaasai, mwanasiasa, mwanzilishi na mkurugenzi wa kituo cha uokoaji wa wanawake cha (Tasaru Ntomonok Rescue Center for Girls), shirika ambalo linafanya kampeni dhidi ya ukeketaji nchini Kenya.[2]

Maisha hariri

Pareyio ni binti wa aliyekuwa mkuu wa kijiji.[3] Baada ya kufanyiwa ukeketaji kinyume na matakwa yake akiwa na umri wa miaka 14, aliapa kupambana na kuzuia kuzuia ukeketaji (FGM) kwa wasichana wengine.[4].

Marejeo hariri

  1. "Agnes Pareyio". Skoll. Iliwekwa mnamo October 2, 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "A Safe Haven for Girls Escaping Harm in Kenya", United Nations Population Fund. 
  3. Hari, Johann. "Witch hunt: Africa's hidden war on women", The Independent, March 12, 2009. 
  4. Pareyio, Agnes. "Rising to End FGM - Agnes Pareyio", Huffington Post. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Agnes Pareyio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.