Agostino Marchetto

Agostino Marchetto (alizaliwa 28 Agosti 1940) ni mchungaji wa Kanisa Katoliki wa Italia aliyehudumu katika utumishi wa kidiplomasia wa Vatikani kutoka mwaka 1968 hadi 1999, kisha akaendelea na kazi katika Curia ya Roma hadi alipostaafu mwaka 2010. Miaka 1990-1994 alikuwa Nunsio nchini Tanzania.

Agostino Marchetto

Anachukuliwa kama mmoja wa wanahistoria mashuhuri wa Mtaguso wa pili wa Vatikani.

Papa Fransisko alimteua kuwa kardinali mnamo tarehe 30 Septemba 2023.[1]

Marejeo

hariri
  1. (in it) Rinunce e Nomine, 06.11.2001 (Press release). Holy See Press Office. 6 November 2001. https://press.vatican.va/content/salastampa/it/bollettino/pubblico/2001/11/06/0606/01792.html. Retrieved 23 April 2020.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.