Agrigento

Agrigento ni mji wa mkoa wa Sicilia, Italia visiwani wenye wakazi 58,956 (2018).

Muonekano wa mji wa Agrigento.

Mahekalu ya Kigiriki yaliyoko bondeni yameorodheshwa na UNESCO kama Urithi wa Dunia.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Agrigento kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.