Aime Kiwakana
Mwimbaji wa Kongo
Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|
Aime Kiwakana Kiala Emmanuel Kiala (alifariki mnamo mwaka 1992), alikuwa msanii wa kurekodi muziki wa soukous, mtunzi na mwimbaji, katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Aliwahi kuwa mshiriki wa bendi ya soukous TPOK Jazz, iliyoongozwa na Franco Luambo, ambayo ilitawala tasnia ya muziki ya Kongo kuanzia miaka ya 1950 hadi 1980.