Air Seychelles ni kampuni ya ndege ya nchi ya Seychelles yenye makao yake mjini Mahé]].[1] Tangu 2012 asilimia 40 za hisa zake ziko mkononi mwa Etihad Airlines ya Abu Dhabi.

Nembo ya Air Seychelles
Airbus A 330-200

Historia

hariri

Ndege hii ilianzishwa mnamo 15 Septemba 1977 kwa jina la Seychelles Airlines. Ilianza kutumia jina la Air Seychelles mnamo Septemba 1978. Ilianza safari za ng'ambo mnamo 1983 hadi mjini Frankfurt na Londn. Inamilikiwa na serikali ya Seychelles na imewaajiri wafanyikazi 663.

Miji inayosafiria

hariri
 
Ndege aina ya Boeing 767-300ER
 
Ndege aina ya Shorts 360

Ndege zake

hariri

Mwaka 2013 kampuni ilikuwa na ndege hizi saba [2]

Airbus moja aina ya A319 imeagizwa.

Marejeo

hariri
  1. "Offices Archived 7 Februari 2003 at the Wayback Machine.." Air Seychelles. Retrieved on 10 Novemba 2009.
  2. http://www.airseychelles.com/en/about_us/our_fleet.php Archived 7 Julai 2011 at the Wayback Machine. Air Seychelles "our fleet"

Viungo vya nje

hariri