Ajuza
Ajuza (kutoka neno la Kiarabu) ni mwanamke mzee sana.
Ingawa watoto wadogo wa kiume ni wengi kuliko wale wa kike, wanawake duniani wako wengi kuliko wanaume, kwa sababu ni sifa ya jinsia hiyo kuishi kirefu zaidi: hata mbegu za kike zinaishi muda mrefu kuliko zile za kiume baada ya kutoka mwili wa baba.
Hata hivyo, katika sehemu nyingine, watu wenye kusadiki ushirikina wanaweza wakawadhania vibaya hata kuwaua kama wachawi, hasa kama wana macho mekundu.
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ajuza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |