Al-Mosailem
Yasser Abdullah Al-Mosailem (alizaliwa 27 Februari 1984) ni mchezaji wa soka wa Saudi Arabia, ambaye anacheza kama kipa wa klabu ya Al-Ahli na timu ya taifa ya Saudi Arabia.
Al-Mosailem
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Saudia |
Nchi anayoitumikia | Saudia |
Jina katika lugha mama | ياسر المسيليم |
Jina halisi | Yasser |
Tarehe ya kuzaliwa | 27 Februari 1984 |
Mahali alipozaliwa | Al-Ahsa Oasis |
Lugha ya asili | Kiarabu |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kiarabu |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | goalkeeper |
Muda wa kazi | 2005 |
Mwanachama wa timu ya michezo | Al-Ahli Saudi FC, Saudi Arabia men's national football team |
Dini | Uislamu |
Mchezo | mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 1 |
Ameshiriki | Kombe la Dunia la FIFA 2018 |
Kazi ya kimataifa
haririMnamo Mei 2018 alitajwa katika miongoni mwa wachezaji wa kikosi cha kwenda kuwakilisha Saudi Arabia katika Kombe la Dunia la FIFA 2018 nchini Urusi.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Al-Mosailem kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |