Open main menu

Ufalme wa Uarabuni wa Saudia (المملكة العربية السعودية, al-mamlaka al-'arabiyya as-sa'audiyya ) ni nchi kubwa kati ya nchi za Bara Arabu.

المملكة العربية السعودية
Al-Mamlaka al-'Arabiyya as-Sa'ūdiyya

Ufalme wa Uarabuni wa Saudia
Bendera ya Saudi Arabia Nembo ya Saudi Arabia
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: لا إله إلا الله محمد رسول الله(Kiarabu)
Lā ilāhā illā-llāhu; muhammadun rasūlu-llāhi
"Hakuna mungu ila Allah; Muhammad ni mtume wa Allah"
Wimbo wa taifa: ash al malik ("Asifiwe mfalme")
Lokeshen ya Saudi Arabia
Mji mkuu Riyadh
24°39′ N 46°46′ E
Mji mkubwa nchini Riyad
Lugha rasmi Kiarabu
Serikali Ufalme
Salman bin Abdulaziz
Mohammad bin Nayef
Kuanzishwa
Ilitangazwa
Ilitambuliwa
Iliunganishwa8 Januari 1926
20 Mei 1927
23 Septemba 1932
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
2,149,690 km² (ya 13)
0.7%
Idadi ya watu
 - 2014 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
30,770,3751 (ya 41 2)
12.3/km² (ya 216)
Fedha Riyal (SAR)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC+3)
+3 (UTC)
Intaneti TLD .sa
Kodi ya simu +966

-

1 Kadirio la jumla ya wakazi pamoja na watu 5,576,076 wasio wazalendo


Imepakana na Yordani, Iraq, Kuwait, Qatar, Bahrain, Falme za Kiarabu, Oman na Yemen.

Kuna pwani ya Ghuba la Uajemi upande wa kaskazini-mashariki na Bahari ya Shamu upande wa magharibi.

HistoriaEdit

Jina la nchi limetoka kwa familia ya watawala, yaani familia ya aliyeianzisha, Chifu Ibn Saud wa Riyad. Yeye, baada ya kuondoka kwa jeshi la Waturuki Waosmani waliotawala Arabia kwa karne kadha, alishinda vita baina ya makabila ya Uarabuni ya kati akaweza kuvamia na kutawala maeneo ya Najd na Hejaz na mwaka 1932 alitangaza Ufalme wa Uarabuni wa Saudia

WatuEdit

Ukiacha wahamiaji, wenyeji ni Waarabu (90%) na machotara Waarabu-Waafrika (10%)

Lugha rasmi na ya kawaida ni Kiarabu, lakini wahamiaji wanatumia pia lugha zao.

Mara nyingi Saudia inaitwa "al-haramain", yaani nchi ya mahali patakatifu pawili, kwa kumaanisha miji ya Makka na Madina ambayo ni miji mitakatifu zaidi katika Uislamu.

Ukweli huu unatumika kuzuia waumini wa dini nyingine zote, ambao ni wahamiaji (21% za wakazi wote), wasiweze kujenga maabadi wala kufanya ibada za pamoja, hata kama ni ndani ya nyumba zao.

 

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit

Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Kirgizstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China.


  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Saudia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.