Alama za vidole ni taswira ya pekee iliyo kwenye kiganja cha mkono wa binadamu.[1]

Alama za vidole za binadamu zina maelezo ya kina ambazo hudumu katika maisha ya mtu na hivyo kuzifanya zifae kama viashirio vya muda mrefu vya utambulisho wake. Zinaweza kutumiwa na polisi au mamlaka nyingine kutambua watu ambao wanataka kuficha utambulisho wao au kutambua watu wasio na uwezo au waliokufa na hivyo kushindwa kujitambulisha, kama katika matukio ya maafa asilia.[2][3]

Marejeo

hariri
  1. "Fingerprint composition and aging: A literature review". Science & Justice (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2015-06-01.
  2. "Fingerprints hide lifestyle clues". BBC News (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2006-04-02.
  3. "Fingerprint grip theory rejected". BBC News (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2009-06-12.
  Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alama za vidole kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.