Albano wa Uingereza

(Elekezwa kutoka Albano)

Albano wa Verulamium (Uingereza) anahesabiwa kuwa Mkristo mfiadini wa kwanza kutoka Britania ya Kirumi.

Mt. Albano.

Makadirio ya kifodini chake yanatofautiana sana: 22 Juni 209, 251 hivi lakini zaidi 304.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu, hasa tarehe ya kifo chake[1].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

MarejeoEdit

  • Niblett, Rosalind (2001). Verulamium: The Roman City of St Albans. Tempus Publishing Ltd. ISBN 0-7524-1915-3. 

Viungo vya njeEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.