Albert Nyathi

Msanii wa Zimbabwe

Albert Nyathi alizaliwa tarehe 15 Novemba, 1962 huko Kafusi katika mkoa wa Gwanda ni mshairi, mwimbaji, mwandishi, mwigizaji, ni mtu ambaye hutoa muda, fedha, uzoefu na ujuzi ili kusaidia kujenga dunia bora .[1] ambaye ni maarufu kwa wimbo na "Senzeni na?",ambayo alifanya baada ya assassination of Chris Hani.

[2][3] Nyathi is married to Caroline and they have three children together.[3]

Elimu hariri

Kwa ajili ya elimu yake ya sekondari, Albert Nyathi alihudhuria Shule ya Sekondari ya Mitheli na Shule ya Matopo. [1] Baada ya hapo alihudhuria chuo cha Zimbabwe ambapo alipata shahada ya heshima katika fasihi ya Kiingereza katikati ya miaka ya 1990.[1]

Kazi hariri

Nyathi alianza kuimba mashairi akiwa kijana mdogo ambapo aliimba mashairi wakati akichunga Ng'ombe huko Gwanda.

[1] Kwa miaka, amekuwa akiongezea watazamaji wake kuingiza nchi nyingine za Afrika na nchi nje ya bara la Afrika. Nyathi aliimba katika Tamasha huko Afrika Kusini akimsifu mfalme mkubwa wa watu wa Ndebele Kusini na mwanzilishi wa Ufalme wa Mthwakazi, Mzilikazi.[1]

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 1.2 1.3 1.4 "Albert Nyathi takes to the skies". The Standard (kwa en-US). 2019-06-02. Iliwekwa mnamo 2020-01-01. 
  2. "Welcome to Albert Nyathi and Imbongi's official homepage". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-12-16. Iliwekwa mnamo 2010-04-04.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  3. 3.0 3.1 "The Truth About Albert Nyathi", NewZimbabwe.com, 5 Jul 2007. Retrieved on 2010-04-04. Archived from the original on 2009-09-21. 
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Albert Nyathi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.