Alberto Kenya Fujimori Inomoto (26 Julai 193811 Septemba 2024) alikuwa mwanasiasa, profesa, na mhandisi kutoka Peru, aliyehudumu kama rais wa 54 wa Peru kuanzia 1990 hadi 2000[1].

Alberto Fujimori

Fujimori, ambaye alikuwa na asili ya Japani, alikuwa mwanazuoni wa kilimo na mkuu wa chuo kikuu kabla ya kuingia kwenye siasa. Kawaida anajulikana kama dikteta kwa kuwa serikali yake ilitambulika kwa matumizi ya propaganda, mageuzi ya kiuchumi ya kibepari, ufisadi mkubwa wa kisiasa, na ukiukwaji wa haki za binadamu.

Marejeo

hariri
  1. "Alberto Fujimori", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2024-09-15, iliwekwa mnamo 2024-09-15
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alberto Fujimori kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.