Alessandro Biello
Alessandro Simone Biello (alizaliwa 7 Aprili 2006) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka Kanada anayechezea katika klabu ya CF Montréal katika ligi ya Major Soccer.[1][2]
Ni mtoto wa Mauro Biello, mchezaji wa zamani.
Marejeo
hariri- ↑ "Le CF Montréal s'entend avec Alessandro Biello, fils de Mauro Biello" [CF Montreal reaches agreement with Alessandro Biello, son of Mauro Biello]. Ici Radio-Canada Télé (kwa Kifaransa). Machi 27, 2024.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Three CF Montréal Academy players to train in Bologna". CF Montréal. Desemba 4, 2023.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alessandro Biello kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |