Alex North
Alex North (4 Desemba 1910 – 8 Septemba 1991) alikuwa mtunzi wa vibwagizo vya filamu kutoka nchini Marekani. Alitamba sana kwa kuwa alitunga kibwagizo cha jazz cha kwanza kinachotokana na (A Streetcar Named Desire) na ni moja kati ya watunzi wa kisasa wa kwanza kuandikwa katika Hollywood (Viva Zapata!).
Alex North | |
---|---|
Amezaliwa | Isadore Soifer Desemba 4, 1910 Chester, Pennsylvania |
Amekufa | 8 Septemba 1991 (umri 80) Los Angeles, California |
Ndoa | Gladlynne Sherle Treihart (1941-1966) Annemarie Hoellger Anna Sokoloff |
Viungo vya Nje
hariri- Alex North katika Internet Broadway Database
- Alex North at the Internet Movie Database
- Alex North website maintained by his family.
- Alex North katika Find A Grave
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alex North kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |