Alex Sandro

Mchezaji wa shirikisho la mpira wa miguu nchini Brazili

Alex Sandro, (alizaliwa Januari 1991)ni mchezaji wa soka wa Brazil anayecheza nafas. Ya beki wa kushoto wa klabu ya Italia ya Juventus na timu ya taifa ya Brazil.

Alex Sandro
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaBrazil Hariri
Nchi anayoitumikiaBrazil Hariri
Jina katika lugha mamaAlex Sandro Hariri
Jina la kuzaliwaAlex Sandro Lobo Silva Hariri
Jina halisiAlex, Sandro Hariri
Jina la familiaSandro Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa26 Januari 1991 Hariri
Mahali alipozaliwaCatanduva Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKireno Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timufullback Hariri
Muda wa kazi2008 Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji12 Hariri
Ameshiriki2012 Summer Olympics, 2019 Copa América Hariri

Kazi ya klabu hariri

Alex Sandro alianza kazi yake na Atletico Paranaense, na baadaye alicheza Santos kwa mkopo. Mwaka 2011, alijiunga na Porto kwa 9.6 milioni, pamoja na mwenzake Danilo, ambaye a. Alijiunga na Juventus mwaka 2015.

Kazi ya kimataifa hariri

Alex Sandro pia anacheza timu ya soka ya taifa la Brazil,pia aliwakilisha timu ya taifa hiyo ya soka ya chini ya miaka 20.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alex Sandro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.