Alexandra Bryant Hubbard Morton (alizaliwa 13 Julai 1957) ni mtafiti na mwanabiolojia wa viumbe hai wa baharini huko nchini Marekani mwenye asili ya Kanada anayejulikana zaidi kutokana na utafiti wake wa nyangumi kwa takribani miaka 30 katika Visiwa vya Broughton huko British Kolumbia. Tangu miaka ya 1990,baada ya hapo kazi aliamua kuhamia kwenye utafiti wa athari za ufugaji wa samaki pori huko Kanada[1].[2]

Alexandra Bryant

Alexandra Bryant Hubbard Morton (amezaliwa tarehe 13 Julai 1957) ni mtafiti wa viumbe hai wa baharini Mmarekani na Mkanada maarufu kwa utafiti wake wa miaka 30 kuhusu nyangumi wauaji porini katika Arkipelago ya Broughton huko British Columbia. Tangu miaka ya 1990, kazi yake imeelekezwa zaidi katika utafiti wa athari za ufugaji wa samaki wa samaki kwenye samaki pori wa Canada.

Marejeo

hariri
  1. "Alexandra Morton – Director and Founder | Raincoast Research" (kwa Kiingereza (Canada)). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-04-11. Iliwekwa mnamo 2023-04-11.
  2. "alexandra morton". alexandra morton. Iliwekwa mnamo 2023-04-11.
  Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alexandra Morton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.