Alfonso Calzolari (30 Aprili 1887 - 7 Februari 1983) alikuwa mwanabaiskeli wa kitaalamu wa mbio za barabarani kutoka Italia.

Calzolari alizaliwa huko Vergato. Tukio kubwa zaidi katika taaluma yake lilikuwa ushindi wake wa jumla katika Giro d'Italia ya mwaka 1914.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alfonso Calzolari kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.