Ali Khamis Seif (amezaliwa 8 Aprili, 1954) ni mbunge wa jimbo la Mkoani katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CUF.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. Mengi kuhusu Ali Khamis Seif (25 Aprili 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.