Alifa Rifaat

alikuwa mwandishi wa Kimisri ambaye hadithi fupi zenye utata zinajulikana kwa maonyesho yake ya mienendo ya ujinsia wa kike, uhusiano na hasara katika utamaduni wa vijijini wa Misri


Fatimah Rifaat (alizaliwa Juni 5 1930 ,alifariki Januari 1996), alijulikana Kama Alifa Rifaat (Kiarabu: أليفة رفعت), alikua mwandishi wa nchini Misri ambaye hadithi zake fupi zenye utata zilijulikana wakati wa maonyesho ya mienendo ya mahusiano ,jinsia ya kike na katika utamaduni wa Misri.[1]

Fatimah Rifaat

Amezaliwa 5 Juni 1930
Misri
Amekufa Januari 1996
Nchi Misri
Majina mengine Alifa Rifaat
Kazi yake Mwandishi

Marejeo hariri

  1. "Alifa Rifaat's 91st Birthday". Google. 5 June 2021.  Check date values in: |date= (help)