5 Juni
tarehe
(Elekezwa kutoka Juni 5)
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 5 Juni ni siku ya 156 ya mwaka (ya 157 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 209.
Matukio
hariri- 1305 - Uchaguzi wa Papa Klementi V
Waliozaliwa
hariri- 1686 - Mtakatifu Ignas wa Santhià, padri wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini kutoka Italia
- 1797 - Said bin Sultani wa Maskat, Omani na Zanzibar
- 1862 - Allvar Gullstrand, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1911
- 1900 - Dennis Gabor, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1971
- 1971 - Mark Wahlberg, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
haririSikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Bonifas, Marsiano, Nikandro na wenzao, Dorotheo wa Turo, Ilidi, Eutiki wa Como, Eobani na wenzake, Franko wa Assergi, Petro Spano, Luka Vu Ba, Dominiko Toai, Dominiko Huyen n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 5 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |