Allan Ngumuya
Allan Ngumuya ni msanii wa injili na mwanasiasa wa nchini Malawi . Ni mmoja wa washiriki mahiri wa tasnia ya muziki ya Malawi. [1] Mnamo 2003 alitoa albamu iloyojulikana kwa jina la I've Got Hope . [2]
Allan Ngumuya | |
Amezaliwa | Zingwangwa, Blantyre |
---|---|
Nchi | Malawi |
Kazi yake | Msanii na Mwanasiasa |
Ngumuya alizaliwa na kukulia Zingwangwa, Blantyre, alijitosa kwenye tasnia ya muziki mwaka 1988 na kuzindua albamu yake ya kwanza ya 'Nthawi'. Ngumuya alijiunga na siasa baada ya kufanikiwa kuwania jimbo la Blantyre City Kusini kama mgombea binafsi mwaka 2014. Hata hivyo, Ngumuya alijiunga na chama tawala cha Democratic Progressive Party (DPP) mara baada ya uchaguzi.
Marejeo hariri
- ↑ Broughton, Simon; Ellinham, Ellis; Trillo, Richard (1999). Africa, Europe and the Middle East: Volume 1 of World Music. Rough Guides. uk. 538. ISBN 978-1-85828-635-8. Iliwekwa mnamo 17 November 2010. Check date values in:
|accessdate=
(help) - ↑ [Allan Ngumuya katika Allmusic "Overview: I've Got Hope"]. Allmusic. Iliwekwa mnamo 17 November 2010. Check date values in:
|accessdate=
(help) - ↑ "Malawi: Ngumuya Tests Positive for COVID-19 - Admitted to Queen's Hospital". 8 July 2020. Check date values in:
|date=
(help)