Alliance for Change and Transparency

Alliance for Change and Transparency (ACT) (kwa Kiswahili:Umoja kwa Mabadiliko na Uwazi) ni chama cha kisiasa nchini Tanzania.[1] Kimepata usajili wake kamili mnamo Mei 2014.[2]

HistoriaEdit

Chama kilianzishwa mwaka wa 2014.

Kimenuia kurudisha sera za Ujamaa. Mbunge wa zamani wa upinzani Zitto Kabwe amejiunga na chama hicho mnamo Machi 2015 kufuatia kufukuzwa kwake katika chama cha Chadema.[3]

ChaguziEdit

Mwaka 2015 chama kilipanga kuchukua angalau majimbo 10 na kukusanya asilimia 15 ya jumla ya kura zitakazopigwa katika uchaguzi mkuu.

MarejeoEdit

  1. Mwangonde, Henry. "TZ gets new political party, pledges wider democracy", 4 March 2014. Retrieved on 2014-07-21. 
  2. "New Political Party Enters Scene With 'Mature Politics' Pledge", 6 May 2014. Retrieved on 2014-07-21. 
  3. Kabendera, Eric. "Return of Ujamaa as Zitto Kabwe defects to new party", 28 March 2015. 

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Alliance for Change and Transparency kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.