Alma Åkermark

mhariri (1853-1933)

Alma Mathilda Åkermark (11 Juni 1853 - 4 Juni 1933) alikuwa mhariri, mwandishi, mwanahabari na mwanaharakati wa haki za wanawake wa Uswidi.

Alma Åkermark
Alma Åkermark

Alikuwa mwanzilishi mwenza wa jarida la wanawake wenye msimamo mkali la Framåt ('Forward'), na mhariri wakati wa uchapishaji wake wote. Aliandika chini ya jina la pseudonym Mark . Alikuwa mwanachaa hai ndani ya Jumuiya ya Wanawake wa Gothenburg (Gothenburg's Women's Association), na mkuu katika sehemu yenye maendeleo na itikadi kali ya harakati za haki za wanawake nchini Uswidi, na alijulikana pia kwa kuhusika kwake katika Sedlighetsdebatten.

Vyanzo

hariri
  • http://www.ub.gu.se/kvinn/portaler/kvinnotidskrifter/biografier/akermark.xml
  • Bergenheim, Åsa, Alma, sedligheten och det fria ordet. Ingar i: Obemärkta. - Stockholm, 1995. S. 162-198.
  • Hirn, Yrjö, Alma Breinholm-Åkermark. - Ingår i: Den förgyllda balustraden. Stockholm, 1953. S. 25-58.
  • Nyström, Per, Bannlyst: Alma Åkermark och det moderna genombrottet. Ingar i: Tre kvinnor mot tiden. Stockholm, 1994. S. 167-187.
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alma Åkermark kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.