Amandine Buchard (alizaliwa tarehe 12 julai 1995) ni mfaransa mcheza judo.[1]Alifanikiwa kuiwakilisha ufaransa katika michezo ya olimpiki mwaka 2020 katika majira ya joto[2] na kutunukiwa medali ya fedha katika michezo ya watu wenye uzito nusu ya unaohitajika.pia alishinda medali ya dhahabu katika michezo ya timu mchanganyiko.[1]

Buchard mnamo Agosti 8, 2021 huko Palais de Chaillot
Buchard mnamo Agosti 8, 2021 huko Palais de Chaillot

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 "Amandine Buchard", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-11-27, iliwekwa mnamo 2021-12-04 
  2. "Amandine Buchard", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-11-27, iliwekwa mnamo 2021-12-04