Amansi wa Città di Castello

Amansi wa Città di Castello (aliishi karne ya 6) alikuwa padri wa mji huo chini ya Askofu Florido.

Alikuwa amejaa upendo kwa wagonjwa na maadili mengine yote [1].

Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 13 Novemba pamoja na ya askofu Florido [2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.