Ambasse bey
Mtindo wa muziki unaotegemea hasa gitaa, milio ya vijiti na chupa
(Elekezwa kutoka Ambasse Bey)
Ambasse bey ni mtindo wa dansi za kiasili na ni dansi kutoka Kameruni.Muziki huo unategemea ala zinazopatikana kwa kawaida, hasa gitaa, na milio ya vijiti na chupa.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ Bitjomè Bi Man Mbai (2013-02-11). "Salle John, Sur la naissance du Makossa !". Iliwekwa mnamo 2016-04-07.
- ↑ "Ambasse bey - Alchetron, The Free Social Encyclopedia". Alchetron.com (kwa American English). 2017-08-18. Iliwekwa mnamo 2023-02-26.