Ambasse bey

Mtindo wa muziki unaotegemea hasa gitaa, milio ya vijiti na chupa

Ambasse bey ni mtindo wa dansi za  kiasili na ni dansi kutoka Kameruni.Muziki huo unategemea ala zinazopatikana kwa kawaida, hasa gitaa, na milio ya vijiti na chupa.[1][2]

Marejeo hariri

  1. Bitjomè Bi Man Mbai (2013-02-11). "Salle John, Sur la naissance du Makossa !". Iliwekwa mnamo 2016-04-07. 
  2. "Ambasse bey - Alchetron, The Free Social Encyclopedia". Alchetron.com (kwa en-US). 2017-08-18. Iliwekwa mnamo 2023-02-26.