Amina Nababi
Mchezaji mpira wa Uganda
Amina Nababi, (alizaliwa 1998 au 1999) ni mchezaji wa Uganda aliecheza kama beki wa kati kwenye timu ya FUFA ya ligi bora ya chama cha wanawake chuo cha Makerere WFC na timu ya taifa ya wanawake Uganda[1]
Amina Nababi | ||
Maelezo binafsi | ||
---|---|---|
Jina kamili | Amina Nababi | |
Tarehe ya kuzaliwa | 1998 au 1999 | |
Mahala pa kuzaliwa | Uganda | |
Nafasi anayochezea | Beki wa Kati | |
Maelezo ya klabu | ||
Klabu ya sasa | FUFA | |
Klabu za vijana | ||
FUFA | ||
Klabu za ukubwani | ||
Miaka | Klabu | |
Makerere,FUFA | ||
Timu ya taifa | ||
Uganda | ||
* Magoli alioshinda |
Maisha ya Klabu
haririTaaluma ya kimataifa
haririNababi alifungia uganda katika ngazi ya juu,mwaka 2019 CECAFA Women championship na mwaka 2021 COSAFA Women championship.